$0.10
Per minuteNaitwa Ng'washi nina umri wa miaka 34, naishi Dar es salaam Tanzania, mimi ni mweusi mfupi kidogo?, pia ni mwalimu wa muda kidogo napenda kufundisha hii inaniweka karibu na watu na inanipa uziefu mkubwa, kutengeneza pesa kunanifanya niwe karibu sana na watu, napenda kusoma vitabu hasa vya dini na wakati mwingi napenda kusafiri, kuwa na mahusiano na watu wapya kutanifanya niongeze bidii??