Offline
Nusra M. is currently offline.
Nusra M.
Mim ni nusra ni Mtanzania ninazungumza kiswahili nakiingereza pia .Ninafanya kazi ya uuguzi [NURSE] kitengo cha ushauri nasaha ninauzoefu wa make 5 ninaipenda kazi yangu hasa kusaidia watu wenye uhitaji.Ninapenda kusikiliza muziki na kufrahi na marafiki.
Ninapenda kazi za mikono kama kushona na kupika pia. Nitafrahi kufanya kazi nanyi
Topics & Rates
GENERAL DISCUSSION
$0.10/min
COOKING TIPS
$0.10/min
LIFESTYLE CHATS
$0.10/min
SELF-IMPROVEMENT
$0.10/min
ENVIRONMENTAL TALKS
$0.10/min
LIFE COACHING
$0.10/min