Online Now
jasper j.
napenda kujifunza vitu vingi sana, hasa ufundi wa vyombo vya muziki na kutengeneza.
Pia ni mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu taklibani kila siku kucheza mpira.
Ata ivyo napendelea kuendesha vyombo vya moto hasa magari na pikipiki za kawaida na ndo kazi yangu ya kuendesha pikipiki mjini kubeba watu na mizigo midogo midogo.
Topics & Rates
GENERAL DISCUSSION
$1.00/min