Online Now
Baraka k.
Naitwa Baraka, ni mtu mwenye malengo na ninapenda kujifunza kila siku. Napenda mahusiano ya kweli, kuheshimiana na kusaidiana. Mimi ni mpambanaji wa maisha, napenda ubunifu, teknolojia na vitu vya kisasa. Karibu tuwasiliane tujenge kitu kizuri 🤝
Topics & Rates
TRAVEL TIPS
$0.40/min
COOKING TIPS
$0.50/min