Offline
Amiri A.
Amiri A. is currently offline.

Amiri A.

Tanzania, United Republic of Swahili
Hi! ๐Ÿ˜Š Mimi ni mtu rafiki, mcheshi na anayependa kuwasikiliza wengine. Napenda kuzungumza kuhusu maisha, burudani, biashara na mambo ya kila siku. Kama unahitaji mtu wa kuongea naye, kushare mawazo au hata kupunguza stress, niko hapa kwa ajili yako. Ninajitahidi kutoa mazungumzo ya kirafiki, yenye heshima na ya kuvutia kila wakati. Karibu sana tuongee na tufurahie mazungumzo mazuri pamoja!

Topics & Rates

SPORTS CONVERSATIONS

$0.20/min
Tip Cyber Friend
In order to tip Amiri A., you must be a member. Click here to login or here to sign up if don't already have an account.
Cyber Friend
PLEASE WAIT

Success

Error

Confirm