Online Now
Mariam B.
Mimi ni mwalimu wa Kiswahili mwenye shauku ya kusaidia watu kujifunza na kuboresha ujuzi wao wa lugha ya Kiswahili. Ninaweza kufundisha sarufi, msamiati, matamshi, kusoma, kuandika na mazungumzo ya Kiswahili. Ninalenga kufanya kujifunza kuwa rahisi, rafiki na kueleweka kwa kila mwanafunzi, kuanzia anayeanza hadi mwenye ujuzi wa kati
Topics & Rates
MUSIC TALKS
$0.20/min
FILM DISCUSSIONS
$0.20/min
TECH CHATTER
$0.10/min