Online Now
Monicah m.
habari zenyu yote, jina langu ni Monica ,Mimi nafundisha kiswahili (native speak) nafundisha mazungumzo,sarufi kuandika na utamaduni, pia napenda kucheka, kusikiliza mziki na kupenda kuongea na watu wazima wanaohesimu au wanaonjiheshimu,natafura marafiki wa kuongea nao kubadilisha mawazo na kupunguza ukimya,kalibuni yote tusome kiwswahili na tukielewe sisi wote,hata kuandika: Niko nairobi kenya:
Topics & Rates
TECH CHATTER
$0.10/min