Offline
Monica K. is currently offline.
Monica K.
Hellow, Naitwa Monica, nimefurahi kupata nafasi hii ili kutoa huduma mtandao haswa katika suala zima la kutoa ushauri nasaha, kutiana moyo haswa pale mtu anapokata tamaa katika maisha na mambo mengine mengi.
Napendelea sana kusikiliza muziki, kusoma vitabu, kucheza muziki na mazoezi kila wiki mara moja.
Topics & Rates
COOKING TIPS
$0.10/min