Offline
Fredy S.
Fredy S. is currently offline.

Fredy S.

Tanzania, United Republic of Swahili
Napenda amani na furaha. Muda wangu mwingi nautumia kufurahia michezo na kupotelea kwenye ulimwengu wa movie. Maisha ni mafupi, chagua kutabasamu Mimi ni mtu nithaminiye sana utulivu na mazingira yenye furaha. Sipendi migogoro, badala yake napenda kuunganisha watu. Hobby zangu kuu ni michezo napenda ule ushindani wa haki na msisimko wake na pia ni mpenzi mkubwa wa movie. Movie kwangu si burudani

Topics & Rates

FILM DISCUSSIONS

$100.00/min
Tip Cyber Friend
In order to tip Fredy S., you must be a member. Click here to login or here to sign up if don't already have an account.
Cyber Friend
PLEASE WAIT

Success

Error

Confirm