Offline
Bore P. is currently offline.
Bore P.
Karibu tuketi kwenye JAMVI LA ENZI na Momo Kalume tumshauri mwenzetu....Empress naomba ushauri kuna jambo linanitatiza mno boss wangu amenipenda na katika harakati za end year party december mwaka jana tuliteleza na kukutana kimwili dadaa kweli ilikua pombe na nikaapa sitarudia tena maana mimi na mke wangu tumekaa kwenye ndoa miaka kumi kwa furaha, sasa jumatano last week boss wangu ameniita ofisi
Topics & Rates
GENERAL DISCUSSION
$0.10/min