Offline
Medmax J. is currently offline.
Medmax J.
Habari! Jina langu ni [MEDMAX JIMOO] kutoka Tanzania
Ninapenda kuzungumza na kufanya marafiki wapya kutoka duniani kote.
Ninaweza kukufundisha Kiswahili, kukwambia kuhusu utamaduni wa Afrika,
muziki, chakula, na maisha hapa Mwanza.
Mimi ni mtu mcheshi, msikilizaji mzuri, na napenda mazungumzo ya kina.
Twende tukachat! Nitakufanya utabasamu
Topics & Rates
LIFESTYLE CHATS
$0.10/min