Offline
jesca j.
jesca j. is currently offline.

jesca j.

Tanzania, United Republic of Swahili
habari mimi naitwa jesca ni mtanzania na ninaishi Tanzania pia ninaongea kiswahili kiswahili ndiyo lugha yangu ningependa kukutana na watu mbalimbali wanaopenda lugha tofauti tofauti lakini pia kama unapenda kujua kuongea kiswahili nipo kukujuza kwamaba nipo kwa ajiri yako nitakufundisha kiswahili na utajua kuongea kiswahili hii ni lugha nzuri sana na ni tamu mno kwa hiyo karibu kujifunza zaidi

Topics & Rates

COOKING TIPS

$0.10/min
Tip Cyber Friend
In order to tip jesca j., you must be a member. Click here to login or here to sign up if don't already have an account.
Cyber Friend
PLEASE WAIT

Success

Error

Confirm